ocr: Bonyeza bendera usikilize kwa makini. Bonyeza bendera au neno usikilize tena. Kama imo maikrofoni kwenye kompyuta, unaweza kujirikodi Bonyeza kifungo chekundu na useme sawasawa. Bonyeza - 'kipanya' - ukitaka kusita kujirikodi. Kisha bonyeza kifungo cha buluu na ulinganishe.